Machapisho

Picha
  NGAO - MFUMO WA KUJILINGA Nimfumo wa kujilinda wa Tanzania ulioanzishwa kwa lengo la kuwapatia raia uwezo wa kujilinda dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, wateka nyara, wauaji, magonjwa, na mazingira hatarishi na ajali. Mfumo huu u msanii na msanii wa sanaa za mapigano, issa rajabu tofiki, maaarufu kwa jina la "mlinzi shujaa" mwaka ( 2019 ) katika nchi ya tanzania. Mfumo wa ngao unamchanganyiko wa mafunzo imara na muhimu sana kwa kujilinda, ambayo imetoka katika karate, jujitsu ya Kijapani, kenpo ya kale, na kung fu.  MICHEZO YA OLIMPIKI Hakuna kushiriki katika mashindano ya olimpiki kwa sababu, mafunzo yake ni kwa ajili ya kujilinda tuu, kwaiyo hata mbinu za ngoo zimepangiliwa kwa ya kushambulia na kulemaza au kuua kama ikibidi kwa muda mchche iwezekanavyo. Ngao ni mfumo wa kitili sana lakini unazingatia sana sheria ili kumlinda shujaa wa ngao asije kuimgia katika kesi za jinai. ASILI YA NENO ( NGAO ) Ngao ni neno la kiswahili lenye asili ya kibaiolojia, ambalo maana yak...

NGAO - SELF DEFENSE SYSTEM

Picha
Ngao is a Tanzania self defense system, which combined karate, Jujitsu and kenpo. This system is focus on three lesson that is safety training, defensive training and first aid training. In defensive training  student will learn how to defend against robbers, kidnapers, killers, dangerous invaironments and lion, leopard etc. Or  they will learn how to defend against grabs, chokes,  punches, kicks, knife attack, pistol and rifle. This system was founded in Tanzania by ( ISSA Rajabu Tofiki / Jenerali Ken ) in 2026. Kwa lengo la kuwapatia raia wema uwezo Wa kujilinda kila siku